Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Zari na familia yake wamewasili alasiri ya leo nchini uganda pamoja na mwili wa Ivan,Tayari kwa mazishi siku ya jumanne
18722169_181587142367989_5337771903631228928_n.jpg
18645600_436314863412954_4438539441295851520_n.jpg
IMG_20170528_180739.jpg
IMG_20170528_180724.jpg


Rest In Peace Ivan
Monday 29 may
Funeral service at St Paul's Cathedral Namirembe,Uganda.
18646235_1818096151839752_573881190650478592_n.jpg
18722344_1305885239525183_1373412665883361280_n.jpg
18699960_764372357056202_1775177272604109756_n.jpg

Zari kapewa nafasi ya kutoa speech kanisani.
18808990_1480316545322004_6768597708052627456_n.jpg

Some photo credits: Miss Natafuta
 
Vp mondi nae keshawasili? maana UG wanamtamani kweli sijui hali itakuaje mbele ya ndg wa Ivan
 
Hamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Hao watoto bado hawaelewi mkuu.. sana sana utawaonea tu

Lakini kuna jambo gumu sana mbele yao
 
Back
Top Bottom