Aah wivu huo
Naona mnawafuatilia kweli kweli!
Shida yako nn brother???
Huyu ni mume mwenzetu katupatia mke sasa ajabu iko wapi??
RIP Ivan The Rich Gang Founder
Ameshakuwa kaka yako!!Mungu awajalie heri wampumzishe Kaka Ivan salama
Hao watoto bado hawaelewi mkuu.. sana sana utawaonea tuHamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Halafu wewe Sky Eclat si ulituaga unaondoka mbona tunakuona humu jukwaani uki like na kuchangia mijadala?
Coz wewe uko moyoni mwake .kifo kisikie hivyo hivyo kwa zari ngoja kikukute wewe ndo utatoka machoxi ya damu nasi tutayajua ya moyoni mwakoKakusanya kwa Ivan,
Bado anasubiri kukusanya kwa Diamond in case of anything!
Huyu Mwanamke anajua pa kwenda kurutubisha Mayai yake kweli kweli