Zari na Shakib wametangaza kuwa wameachana rasmi

".......Zamu ya nani leo,zamu ya Man Fongo,Zamu yako inakuja mwana husijali baharia wangu......"

Hayo maisha ya Zari ndio maisha ya mashangazi wengi wa mjini wenye viburi vya fedha...... hapo kuna dogo mwengine anapiga jalamba....
 
🤣🤣🤣🤣 Shida yake ana ego ile siku dogo alivyoambiwa Mimi natongozwa mpaka na maraisi ndio siku dogo angeamua kumuuacha
 
Zari ana watoto wakubwa tena ni maGIANTs ,kuchukua viserengeti Boys ambavyo vinazidiwa miili hata na watoto wake ni kuwadhalilisha ,ashakuwa mtu mzima aache UPUUZI.
 
Ingekuwa ya kiswahil nakwambia mleta mada hii mada ingejaa comment had ungeshangaaa

Zari sasa apumzishe KITUMBUA CHAKE kimetumika SANA

Diamond

Shakib

Ivan

.wengine ongezeeni wenyewe
Mkuu hiyo ni kama Big G itaisha utamu ila inatafunika., inavutika na unapuliza puto!
 
Ila papuchi ya Zari itakua imechoka sana, mi **** aliopitia ni mingi plus na watoto watano lazima hio papuchi itakua inajamba jamba kama una kibamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…