Zari Nimekuja Dar kwa Ajili ya Danude GSM sio Diamond

Afungue na Kesi ya matunzo ya mtoto ktk mahakama ya watoto
Atakuwa amefanya la maana na ameokoa gharama
 
Hatukutaki tena zari mond anafukuzia Miley cirus
 
Simba hula matawi ya juu,ale rihana,Madonna,
 
Zari kasema anataka kuweka mahusiano yao mbali na umati wa watu, ndiyo maana yupo kimya hivyo si kwamba wameachana.

Yaliyojitokeza hivi sasa ni kutokana na kuanika mahusiano, hilo ndiyo kosa analolikiri na anataka abadlishe. Unaweza kusikia hawapo pamoja ila ukweli ndiyo huo,
 
diamond platnumz x Rick Ross
mambo yamezidi kua matamu sana na sasa hivi wataota majipu sehem nyeti
 
i think rick rozay fell off some two years ago or so..he is not relevant anymore,just like neyo
Chuki tu za bure. io ingekua imepigwa na yule jamaa King KIBAMIA basi ingepewa KIKI na Mange Kimambi siku sita
ila kisa Mond ndo kafanya ivo basi watu wanalamba malimao tuu. na zitatoka mimba za chuki mwaka huu
 
dah,mkuu umekosea sana..sipendagi bongo fleva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…