Zari: Nimerithi masikio kwa babu yangu

Zari: Nimerithi masikio kwa babu yangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mjasiriamali maarufu mjini , zari amefunguka kuwa masikio yake pamoja na ngozi yake nyororo amerithi kutoka kwa babu yake ambaye ni mwarabu aitwaye sultan
 

Attachments

  • 1460844989576.jpg
    1460844989576.jpg
    53.4 KB · Views: 116
Ngozi nyororo my foot.
Mbona zamani hakuwa aking'aa kama sasa?
Nae kitaulo kinamsaidia,aache kujitapa.
Wacha weeee kuna picha zari aliweka, picha yake yupo primary school, kavaa shati white na sket nyekundu yupo hivo hivo same same zarinah labda useme filters tu
 
Wale mashabiki wa chakubimbi wema, au wema chakubimbi hii ni habar mbaya kwao
 
Kumchukia Zari hakutamfanya Wema awe juu,ni kama kumchukia DIAMOND hakutamfanya kiba awe juu,ila juhudi zao za kupambana na malengo yao ndio zitawafikisha juu. Hata ukisema yeye/wao ni kama kiti moto bado pesa zao na mafanikio yao hayatoki kwao ( Zari/DIAMOND) kwenda kwa (wema/kiba)
 
Wacha weeee kuna picha zari aliweka, picha yake yupo primary school, kavaa shati white na sket nyekundu yupo hivo hivo same same zarinah labda useme filters tu
Ukiangalia picha yake na ndugu zake ye ndo anang'aa sa sijui na nguvu ya pesa/maisha mazuri inachangia
 
Back
Top Bottom