Zari rapper: Rapa mpya wa kike anayekuja kuishika bongo

Mnhh... Huyu zari rapa mkali sana aisee...
 
Hahahaha mwenye ile picha ya Trump rapa wa Mbeya atupie tafadhali
 
Mwenye huo wimbo wa huyo Zari rapper atuwekee basi.
 
Alafu hao ni watoto wa Tandale huko sijui kama wana ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…