my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Nyie wapenda umbea wa humu zari the boss lady ameolewa sijui na nani huko halafu munajifanya kama Hamna habari humu. Nyie wambea gani walala njaa tu. Haya mimi ndio nimewaletea habari hiyo 🗣️🗣️ haya usiku mwema