my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Tuanze na wewe umeolewa?Nyie wapenda umbea wa humu zari the boss lady ameolewa sijui na nani huko halafu munajifanya kama Hamna habari humu. Nyie wambea gani walala njaa tu. Haya mimi ndio nimewaletea habari hiyo [emoji2788][emoji2788] haya usiku mwema
Manungayembe huwa hayaolewiwewe umeshaolewa?? au bado upo kwenye uchumba sugu??
Ushamba ni pale unapofanya 'private wedding' wakati tayari una watoto watano, baba tofauti.Ushamba nipale watu hawajui maana ya private wedding ya zari wakati hata ya beyonce hawakujua mpaka alivo amua post picha yeye mwenyewe.
Kinyemela.Kumbe na wewe unaingiaga humu?