huyu mmama nae kwa kulazimisha mambo......
picha ndio kwa iko kwenye intro teh teh.
Wacha nichukue siti
Ukichelewa utasimama mwanzo mwisho...wahi siti
Ukichelewa utasimama mwanzo mwisho...wahi siti
Ukichelewa utasimama mwanzo mwisho...wahi siti
We bwana eh, we tuhurumie tu wanaume manake haya mambo mengine Mungu katufanyia makusudi tu ili mradi tu apate sababu ya kututia kwenye huo moto wake... lakini potelea mbali, aaaaargh! Hivi we mwanaume unakutana na kitu kama hiki:huyu mmama nae kwa kulazimisha mambo......
Hiyo inaitwa potelea mbali, acha tuweke mambo hadharani...
huyo mmama mzuri acheni maneno kuntu huyu ni MDIVA HASWAAA
Kheee kaamua kujilipua kwani nini