Zari the bosslady & Diamond

Najiuliza,
Nani alianza kutupa mistari ya kumtaka mwenzake kati ya hawa watu wawili, Diamond na Zali?
Swali langu ni langu, sina team..so please stick to the topic, trying to reason.

Diamond alitamka mwenyewe,

Nachompendea kijana ni hanaga drama za kumix mademu kwa wakati mmoja kabisa ukasikia vurungati.

Anajielewa sana
 
Kwa mtindo huu wacha nijipange nianzishe na mimi gazeti langu la udaku nile pesa za wabongo, hahahahaha unamkuta mzee amekaa kabisa serious anasoma afu anaamini yaliyomo...

Ila ni nzuri inazidi kuibrand couple kwanini usitoe m90 ukiwaita kwa show??
 

Attachments

  • 1435813488777.jpg
    56 KB · Views: 261
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…