Baada ya msiba zari ameonekana akipost yupo kwenye mjengo wao wa SA na familia yake yote, Mungu awape nguvu machungu ya msiba yapite aanze kupambana kuijenga familia yake.
diamond safi sana kwa kuonyesha ukomavu wa kuruhusu mkeo kukaaa na watoto wake wote.
Hiyo Kampuni ya Maziwa ya Mtindi ya Zari kama inavyoonekana pichani hapo ni yake au ameyabetua tu kutangaza Soko?
Duh kumbe!!!Kwa hiyo atakuwa na 'watoto' sita! Maana first born hatofautiani sana na so called honey.
Lol watu mnamanenoKwa hiyo atakuwa na 'watoto' sita! Maana first born hatofautiani sana na so called honey.
Wewe bwege haya maneno huwa unayatoa wapi?.unaonekana umeishi uswahilini sana.
Khaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...

Ha haa! Bibo, siku nikikuweka ndani, watoto wako wa nje uwaache huko huko!Kha ndo unaroho mbaya kiasi hiki mkuu!? [emoji849]huna tofauti na gaidi
Ha haa! Bibo, siku nikikuweka ndani, watoto wako wa nje uwaache huko huko!
Kwa hiyo atakuwa na 'watoto' sita! Maana first born hatofautiani sana kiumri na so called honey.