Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

uchoyo tu
 
Dada ana akili sana acha afaidi pesa anayo, watoto wake wameachwa vizuri na zaidi ana mtu hata amzalie watoto kumi nje hawezi kumuacha hakuna mwanamke asiependa nguvu kama aliyonayo bi dada.
 
Wewe bwege haya maneno huwa unayatoa wapi?.unaonekana umeishi uswahilini sana.
Watoto wa uswahilini ndiyo tabia zao Mkuu. Siyo watoto wa kiume wala wakike wote wana maneno hatari ni maneno mengi sana.
 
Kwa hiyo atakuwa na 'watoto' sita! Maana first born hatofautiani sana kiumri na so called honey.
Kamuulize Pungufu aka Machache na Rais wa Ufaransa, Trump,na wengineo. Hii Couple mnaisakama sana kwa maneno yasiyopendeza. Kwani kuzaa watoto wengi unaoweza kuwalea/kuwatunza kuna shida gani? Hii ni familia iliyobarikiwa Fame, Makazi, Malazi, Chakula, Usafiri, Uzuri, Uzazi na Luxury zote mliozikosa hapa duniani. Mungu awaunganishe wawe Strong and Happy Family.
 
Tatizo ni umri ukikua utaacha.
 
shikamoo gentamycine!!
 
Nani alikuambia kuwa hao watoto huwa hawaishi nae pale?

Au kwa sababu wakati mwingine uwaachia vyumba vyao hao wqpambe wa Dai?
 
Huwezi kuwa mlokole na ukatoa kauli kama hizi.
 

Hujaokoka wewe bali umeogopa ti hakuna walokole wa type yako aisee
 
Diamond and Fans, hebu chukueni muda kidogo msome hii habari hapa chini halafu kila mtu atajua kupembuwa mchele na pumba.

What led to the separation of Zari and Ivan.

SOCIALMEDIA IS EVIL

What led to the separation of this couple that lived together for 11 years and rose from grass to grace?It all started when Ivan started promoting Zaris music career , while she was not famous in Uganda , in 2009 when Facebook hype had picked up in Uganda , zari became a household name . By then Judith heard was the leading socialite , then beef started between zari and Judith Heard , fans were divided between team Judith Heard and team zari and both fought about who owned more money. Zari told Judith she relies on old bazungu to get money , team Judith heard retailiated by telling zari she dates a fat and local sangoma who can’t speak English, this hurt zari so much and it started leading to a strain in their relationship, zari wanted Ivan to be perfect so as to clap back to her haters , Ivan just wanted to continue being himself , tension started arising in the relationship as zari rose fast to fame and now had cameras allover her , after her successful white party in 2010 , she was now the talk of the town with Ivan but deep inside she wasn’t happy with his image since haters always mocked her that she had afat sangoma who can’t speak English , zari became fraustrated which led to her cheating with a South African guy , rumors is that Ivan caught her red handed and out of anger slapped her . This caused more tension and the relationship grew apart , Ivan started trying to loose weight to maintain zari but she started looking for someone , she got lugudde , and taunted Ivan that she has aman with asix pack , she posted shirtless pictures of lugudde to show off his muscles to Ivan . Ivan was depressed and even tried to go for atuummy tuck surgery. Zari dumped lugudde and went on to date farouq ssempala, she knew ssempala had no money but she used his body and muscles to mock Ivan . Ivan become more depressed because he could not change his body neither could he speak American English like lugudde or farouq ssempala. Zari made sure that all her new men had Better bodies , something which she lacked in her marriage with Ivan . After a leaked sex tape of Zari with a west African man , farouq left Zari and she went on to hook up the talented young Tanzania artist Diamond who had the good body and was presentable , this was acomplete package for the Zari social media image . The rest is history , in the meanwhile Ivan continued to love her and was so close to her siblings like ting dis . Ivan told friends that zari left him because she wanted someone with a better body . , she wasn’t proud to be with him or show him off like her man by posting about him,in other words , the beef that started with Judith heard fans mocking Ivan is what led to the collapse of the 11 year relationship, what hurt Ivan most is when Zari would display the chests and muscles of her new men , lugudde, farouq and diamond just to taunt Ivan . He felt so small like aman . And resorted to drinking and stress which finally gave him pressure and stroke that killed him . In conclusion, it’s social media , seeking fame and validation that led to the downfall of this couple. Ivan could never get the six pack and speak proper English, yet that was the image Zari wanted for her brand , that is what depressed him most . She always praised Ivan because deep inside she knew he was agood man and even the brother of Zari never left Ivan’s side.ivan slapped her because of cheating but the public never forgave him.and what hurts Ivan’s family and friends is that she used to excuse of the slap but the truth is she just wanted to replace Ivan with aguy with a better image for showbiz that’s why she cheated on him yet he was the father of her kids and they hustled together to get wealth.Rip Ivan may God forgive your sins .
 
Itabak tu jina kwa hawa Watoto Jamaa anayesema ni wake,ila tuendako huyu Mwanamke hawez kumpa Watoto
 
Una roho mbaya nawe unaweza kufa mwanao akalelewa na mwingine baba wa kambo
 
Ila Diamond anatakiwa awe na roho ngumu..kulea watoto watano si mchezo!!
 
Hiyo Kampuni ya Maziwa ya Mtindi ya Zari kama inavyoonekana pichani hapo ni yake au ameyabetua tu kutangaza Soko?
Zari ana ugonjwa fulani ngija nitamuuliza Chris atwambie ni uginjwa gani? Mama mtu mzima anakuwa kama binti anayevunja ungo!,mambo ya Le Mutuz haya.Ni aibu kweli kweli.
 
Huyu mwanamke kumbe odometer imesoma sana?

Daimondi anabemendwa kizembezembe tu!!!!

Hivi daimondi ana tutoto tungapi twa kwake kivyakevyake bila shombo ya aivani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…