Zari utagombana nawangapi

Zari utagombana nawangapi

Titty

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
571
Reaction score
912
Huyu nae Salome juwa huyu ndo simba akitua town kukumbiza swala, digidigi, Twiga, Viboko, yurt hadi minyooo just persevere. Lakini jaandae kuoga maji ya baharini kuondoa nuksi
1474567115680.jpg
 
Umenitekenya nn?? Aaah wewe n chizi ujue, ni kawaida mbona, diamond alimsapoti wema kwenye black party naona wema anarudisha fadhila, huyo tasa diamond hawez mrudia tenaaaaaa asahauuuuuuuu
Lakini ka ukijua wema tu ndo anaweza kuka na Mondi. Sijawahi sikia amepost cjui kakuta bikini au brazia, unafikir hakukuta sema tu yeye anajelewa.
 
Lakini ka ukijua wema tu ndo anaweza kuka na Mondi. Sijawahi sikia amepost cjui kakuta bikini au brazia, unafikir hakukuta sema tu yeye anajelewa.
Unatia kinyaa sana bichwa kubwa limejaa usaha tu kujadili viuno na vyumba vya watu mxieeeee
 
Hahhaaa diamond sasa kaishiwa , hivi msanii wa kimataifa ndo wa kutafuta kiki, kupitia ex girlfriend wake ?? Nina waswas, ila zari naye Ana moyo aisee
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Si ka mshow luv tuu!!

Asa mbona unaadimika ttzo nini
 
Hahhaaa diamond sasa kaishiwa , hivi msanii wa kimataifa ndo wa kutafuta kiki, kupitia ex girlfriend wake ?? Nina waswas, ila zari naye Ana moyo aisee
Jamaa anapenda kik sasa hivi kashaanza kumpost wema siku si nyingi italetwa habari hapa nae kasahau bikin kama mwenzake!
 
Unatia kinyaa sana bichwa kubwa limejaa usaha tu kujadili viuno na vyumba vya watu mxieeeee
Sikupii Kiki, ulitaka nijadili kimembe chamamaako. Give me a break guy. I'm free to do what I want. Uso kama kinyensi cha Aldhuhuri, usinizowee napua yako pana kama bukuta ya Lemutuziiiii
 
Back
Top Bottom