Zari utamkumbuka Ivan the Don maisha yako yote!

ndio hata kama Maisha yake sasa sio mazuri kama zamani,still ameshawahi kuenjoy Maisha..probably me and you hatutakaa tuyapate in our lifetime..lol
Na ukiangalia wote wanaomdiss ni wivu tu wala hakuna kingine, mara ohh boss fake. Jamani ht km anafake life napo apongezwe tu. Ni nani anaeweze ku maintain hiyo status ya kufake kwa kipindi chote?
Km ni rahisi, mbona wao hawafake?
 
[emoji123][emoji106][emoji108]
 
Mimi sihangalii sio umaarufu naangalia tabia zako kwanza mana nimeridhika na hali yangu, wanaume mzalilishaji ni wakumkimbia hata kama ni maarufu
Tena wa kukaa nae mbali kbs
 
Mwanaume nae anaroho unakumbuka jide alimsema habash mpka kwenye nyimbo,uvumilivu ilimshinda habash nae akatupa jiwe moja tu la kukojozwa mpka leo hii heshima debe.ukweli mchungu ila zari ni mama ambae anaakili za kitoto huwezi mdharau mzazi mwenzio hata kama mmeachana
Mimi sihangalii sio umaarufu naangalia tabia zako kwanza mana nimeridhika na hali yangu, wanaume mzalilishaji ni wakumkimbia hata kama ni maarufu
 
Acheni story za mtaani kua alimalizia nyumba wakti domo ndio alikua anapata show za kutosha atashindwaje kumalizia nyumba ile,zari alikua anadanga tu kwa muzamili
Nyumba ya Madale, Zari ndiyo aliimalizia kuwa ilivyo hadi leo. Dee wivu tu umemjaa baada ya kuona Kingbae yupo kuoa kabisa.
 
KARMA is real
...
 
Acheni story za mtaani kua alimalizia nyumba wakti domo ndio alikua anapata show za kutosha atashindwaje kumalizia nyumba ile,zari alikua anadanga tu kwa muzamili

Ha ha haaaa
Mbona tuliyaona akifanya hivyo.. unafikiri watu tuna muda wa kutunga yasiyo yetu.. habari ndio hiyo.. hata juzi kwa video clips Zari kaisema.. mwambie basi abishe. Eti show.. jamani tumsalie jana domo kapiga show hakupata watu zaidi ya kidunchu hadi kagawa ticket bure.. na wa SK waingie.. kuna wadau walirusha instalive kaangalie kabla haijaishia. Mwambieni amuombe msamaha Zari kwa kumshambulia uongo kutaka kumchafua.

Mzamili unapenda kumtaja kama vile wewe wako hakuguswa na wengine.. haina nguvu hiyo ni blah blah blah unatema. Andika kingine..
 
Kwahiyo hata nyumba ya SA zari alinunua?basi itabidi chibu aache mziki mana hana hela
 
team zari @ work
mna jaribu kumsafisha uyo bi kidude lakin hamna kitu
 
Maisha ya mitandaoni noma sana.... Tunatumia muda mwingi kumdiss ambaye ameshatoboa kimaisha na kupitia karibia hatua zote muhimu kimaisha kuanzia pesa, mahusiano, ndoa, familia umaarufu nknk
Ndio ujue watu wanamtamani kiasi gani mzee.
 
Oyoo Tigershark ulishazingatia ushauri niliokupa wa kufanya kazi na kuacha porojo jamvini?
 
Zari the boss lady watu hawalali jinalako ni kama pumzi kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond nna wasiwasi nae ana mambo yakike sana ,,yote haya kaleta yeye ila nimependa pale alipoambiwa na baba yake wazazi wakike huwapa sumu watoto wao ,na yeye ndipo anapoelekea watoto hawatakuja mjali mond,
 
Mimi sihangalii sio umaarufu naangalia tabia zako kwanza mana nimeridhika na hali yangu, wanaume mzalilishaji ni wakumkimbia hata kama ni maarufu
Wanawake wengi mnachoongea ni kinyume, nimeshashikia wanawake wengi wakiongea kama wewe lakin mwisho was Siku imekua ni kinyume chake
 
Ulichoongea ni ukweli 100% wanaume maturity wengi ni wakawaida, alafu bidada anashindwa kuelewa anayoyafanya diamond Kwa sababu ya nguvu ya fedha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…