Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa Dodoma.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ndio wamehamia huko sasa hivi.
Tangu lini?Wanaume wa Dodoma.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wanaume wa Dodoma.
We huna mpya za nchi hii? Sasa wanahama kutoka Dar kwenda Dodoma.Tangu lini?
unajuaje kuwa anampa yote...Mnatamani awe mchepuko wakeeee. Zari anampa yote na ujuzi wake D haoni hasikiii kumtaka amuache... toto la Kiganda mtamuje... Si mnaona D anavyojiweka miaka hii.
Ahsante mkuu kwa taarifaWe huna mpya za nchi hii? Sasa wanahama kutoka Dar kwenda Dodoma.
Maswali ya humu, duh! Ngoja mi ni-log out.unajuaje kuwa anampa yote...
unajuaje kuwa anampa yote...
WasalimieMaswali ya humu, duh! Ngoja mi ni-log out.
Anampa yote bana hata chenji haibaki 😀unajuaje kuwa anampa yote...
Sista bana kwani kuwa single parent dhambi? Au zari ndo atakua wa kwanza? Kwani hana shughuli za kuwatunza watoto eeeh jameniZarina weee zaa tu sasa hivi diamond anauwezo wa kununua pampas ila jiandae kuwa single parent baadae. Labda mumeo ivan atawasomesha wanao.....pole & rest in pisi in advance
Cc Heaven on Earth