Zari wa Diamond alijibu hivi alipoulizwa kuhusu mchepuko wa Diamond

Mnatamani awe mchepuko wakeeee. Zari anampa yote na ujuzi wake D haoni hasikiii kumtaka amuache... toto la Kiganda mtamuje... Si mnaona D anavyojiweka miaka hii.
hahahah....upo salama?
 
Wanaume wa dodoma katika ubora wao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zarina weee zaa tu sasa hivi diamond anauwezo wa kununua pampas ila jiandae kuwa single parent baadae. Labda mumeo ivan atawasomesha wanao.....pole & rest in pisi in advance

Cc Heaven on Earth
Imefikia kuchuliana dah! chuki gani hizi kwa binadamu mwenzio?
 
Habari wanayo asante, wanaunwa ugonjwa wa ugombanishitynawacheka kwa dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…