Zari: Wema na Aunty Ezekiel msije South Afrika, Mtanichafulia nyumba yangu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Mzazi mwezie na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari ameukataa ugeni wa mastaa wa filamu kutoka Tanzania Wema Sepetu na Aunty Ezekiel.

Marufuku hiyo ya Zari imekuja masaa machache baada ya Diamond kutangaza kuwa kwenye Birthday ya mtoto wao Tiffah kutakuwa na wanakamati 10 kutoka Tanzania ambapo kati ya hao yumo EX wake Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Mtangazaji wa runinga Zamaradi Mketema.

Zari kupitia mtandao wa Instagram amesema hataki ugeni wowote kutoka kwa watu hao kwani amedai atachafuliwa tu nyumba yake.

Sitaki kunichafulia nyumba yangu samahani naomba mkae huko huko“,amefunguka Zari baada ya kuulizwa swali na mmoja ya mdau kwenye mtandao wa Instagram.

Mapema mwezi huu Diamond aliahidi kupeleka mashabiki wake 30 nchini Afrika Kusini kusherehekea siku tatu Birthday ya Tiffah kuanzia tarehe 17 hadi 19 Agosti 2018.
Tiffah amezaliwa tarehe 06 Agosti na sherehe hiyo itakuwa ni ya kipekee soma zaidi kuhusu tukio hilo


Source: Bongo 5
 
Last edited:
Niliwahi Kusikia Watu wanaitwa wanafiki na wapashkuna mtoa uzi Habari ?
 
Write your reply...zari ni jasiri sio kama nguchiro hamisa
 
Hapa amekufuru Mungu, mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu,.Huyu mtoto sasa anaanza kuelekea ambako siko, ugomvi na wake wenza wake anauingiza hadi kufikia kumhusisha Mungu! Ukimkashifu binadamu, umemekashifu Mungu,..., after all utterances za namna hii huwa ni very special case ya signs za inferiiority complex,.., mtu anaongea maneno kujinyanyua aonekane yuko juu, why? Because if you are already JUU, and people see you JUU, why then try to strugge so that you are seen JUU
 
Write your reply...binadamu kaumbwa kwa mfano wa mungu..kwa hiyo mungu ana korodani au mashavu mkuu!!?
 
hapo wa kulaumiwa Mond..umelala na Wema alafu unataka kwenda nae kwa mzazi mwenzio..jamaa apunguze ujinga wanawake watu wa ajabu wanaweza kuwekeana sumu...hizi kiki huyu jamaa apumzike khaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…