Zarina ndani ya dela ya mama Diamond

Nyasamaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,055
Reaction score
595
[h=3]TUESDAY SPECIAL[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Ladies[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]not yarayaraaa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]kule kwenye mkia si weaving/kibanio ni unywele wangu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]lovely[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nilisema Habari za hawa watatu zimenichosha lakini ndizo zilizojaa kwenye social Media haya sasa Wifi Ndani ya Sinza ngoja Panya Road wapite !!
 
Huyu ndo Zari wa Diamond? Eti Heaven on Earth..
 
Diamond amewainfluence Vijana wengi sana yaani sasa hivi idadi ya 20's kutongoza 30+ - 40 imezidi , Ukimshangaa anakwambia eti Mbona Diamond anatoka na Zari ???
 
Hapo sintah roho kwatuuuuuuuuuuuuuuuu. Wana visura vizuri....
 
Diamond amewainfluence Vijana wengi sana yaani sasa hivi idadi ya 20's kutongoza 30+ - 40 imezidi , Ukimshangaa anakwambia eti Mbona Diamond anatoka na Zari ???

.......... halichagui umri. Let them enjoy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…