Zarina ndani ya dela ya mama Diamond

shogaa sikiliza, huyo dougiemasta hafanyi yote haya burebure tuuu, its out of payments, unaelewa, si unakumbuka bornday yake alizawadiwa SUBARU?? yani kwa kifupi ni kama wale watu wanaofanya assassinations for money, huwa hawaogopi dhambi wala nini, so dougie ameajiriwa officially kumstress mondi na zari tuuu, ndio maana unaona anatumia nguvu nyingi kiasi hiki yupo kazini mwenzako.for this job anakula anavaa anakunywa kodi analipa na gari kapewa. upoo???
 
Duh kweli mishe in town!!
 
Haleluuyaaa
 
shougaaaaaa weeeeee anggggguuuuuu??(
mabigggg ndo maana anajitahidi kweli na anaweza UKIPERETO maana mie nlitaka nshangae we zile notisi kila siku km HISTORY TWO vile dah ni kerrrooo
yani nakubaliana na wewe yule analipwa hawa ushuzi ushuzi wengine wapowapo tu
maana hali,hanyi,hajambi,hanywi,halali mnaa yule zarimondi
kkaaaahhh mwanamke gani sasa yule anaacha kutafuta kazi ya maana kakalia kumkashfu dada wa watu ili alipwe na wale Mazuzu nao kina kidawa wanamuunga mkono kutukana hawana akili wale tena wanajisfia wako ulaya daahhh
wangekua kigogo km mie wale si kanga moko au panya road
 
Km hujagundua vzr..team wema wengi wa insta..ni wale wasio jielewa...washaambax...hawana kazi...ukicheki profile zao wako wanawork visaluni chochoro..kwakufupi na wenyewe wengi wanaonekana wauza nyapu wenzie..mtu na class zako utaanzaje poromosha mitusi...wengi wana stress za kutokua na mabwana..waume...lol
 
kula tano wangu ni kweli kabisa usemayo!!
mi hilo nimegundua yaani watu wa saloon,saloon,vigrocery na wamama wa nyumbani wa uswazi ndo wana tabia ya kutukana tukana hovyo kitu kidogo utashambuliwa wewe ujute mi nampenda usipojipangantakupanga anajielewa yule dada
wanahasira na life la kitaa eti wenyewe yule ndo role model daah ni shiidah
yani kuna siku nilicomment ushoga wao ulivyorudi na peny nilichambwa nkasema hawa wehu hebu mie matusi siwezi yaani sio wastaarabu na mazuzu
 
Chezea Huawei promotion...insta wakt inaanza haikua hivi...ss hivi imeingiliwa mpk na madent....shyaaaidaaa...watu wana stress..inabidi diamond atangaze zamu ya kuosha rungu kwao...watatuliaaa
 
Chezea Huawei promotion...insta wakt inaanza haikua hivi...ss hivi imeingiliwa mpk na madent....shyaaaidaaa...watu wana stress..inabidi diamond atangaze zamu ya kuosha rungu kwao...watatuliaaa
hahaaaaaaa usemayo ni kweli mine insta sasa kimekua kijiwe cha matusi na umbea *kudhalilishana
dai akitangaza watu wataweka sikukuuu
wengine matusi yale wivu tu hamna lolote huyo dogy akitongozwa na dai atakataa au wadudu tu wanamnyevuanyevua
l
 
Hiyo screenshot mbona kwangu haifungukiiii!jamani itupieni tena!
 
hahahaaa umenichekesha eti kama history two, sasa nikuchekeshe zaidi hata hii habari anayoivumisha huko insta now kuwa eti shemeji yake zari katangaza kumpa dai $40, 000 ili amuache zari akalee watoto kaipika na kuna watu wameshamshtukia wanampaje makavu huko ila ndio mwanamke kakomaa tu pesa pesa pesa jamani, sasa baada ya kuona kuwa hii imeshtukiwa, ametangaza kumwaga umbeya mwingine, leo kasema halali.
 
Eti toka ubindoni ni kwamba yule aliyeNDIKA KUTAFUTIA WABAWAKE WANAUME KWA KUSAKA KAMA ALIVYOSAKA KWA MZUNGU HUYU NDIO MKENGE UKAMWINGIA NDIE DDOUGGIE MASITA WA INSTA (NIMECHAKACHUA SPELLING MAKUSUDI)

DM NDIO MK. KUMEKUCHA EVIDENCE ETI ZIPOOOOOOO.

TENA KAINGIA BONGO KIMYA KASEPA, BASI WENYE WIVU WAANARIAJE NOW TEAM MABABU(WANAOTOKA NAO)

OK NAMI NIMEWASILISHA
 
Jinsi dogi anavyoandika.. upeo wake (kupitia mwandiko) na jinsi Mange anavyoandika na upeo wake.... mbona ipo clear ni watu 2 tofauti????

Hebu shusha hizo evidence

Meanwhile kuna hii sc

Sc Nyingine ina tusi naogooa ban mie....

Ika hiyo ya zari kuomba pesa ksma sijaielewa hivj
 
Attachments

  • 1420593536134.jpg
    70.5 KB · Views: 466
  • 1420593559548.jpg
    50.1 KB · Views: 463
Huyu kagundua ujinga wa baadhi ya wa tz.....

Wanavyocomment huko hadi aibu

Halafu pitia profile zao mmmmmh

Kweli wabongo wameishia ujingani tu na social networks

.
 
Huyu kagundua ujinga wa baadhi ya wa tz.....

Wanavyocomment huko hadi aibu

Halafu pitia profile zao mmmmmh

Kweli wabongo wameishia ujingani tu na social networks

.
Aaaaah sisi tena kwa kuongea tu na kutukana hatuna mpinzani mbona. Tunajitia tu aibu kwa kweli
 
Eeh my reporter nashukuru unareport live from insta. What's wrong with Huyo king Lawrence sijui? What is he trying to achieve? mbona hayo mambo Ni ya kifamilia zaidi, sio bure katumwa Huyo. Afu Huyo king ndo Huyo anayetoka na huddah sijui?
 
Inawezekana anatoka na huddah maana nimeona pics za huddah

Hapa itakua either ametumwa na ivan au ndio wake watafuta 7maarufu

Na sasa hivi anaupata follower wameongezeka na comment zinafika 800 na ushee heheheh

Aaah Kama umaarufu kashaupata bongo. Nahisi katumwa sio bure, afu it seems haziivi na zari tangu zamani. But I wish wasitumie watoto kufanyiana drama zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…