Zawadi anastahili Kaseja tyuu?

Zawadi anastahili Kaseja tyuu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mabeki, Viungo, wawinga, na mafowadi kwenye mechi na Burundi hawakustahili pongezi pia kama za kipa wetu Juma Kaseja?
 
Mabeki, Viungo, wawinga, na mafowadi kwenye mechi na Burundi hawakustahili pongezi pia kama za kipa wetu Juma Kaseja?
Mtoto pendwa kaamua, utamfanyaje? Kwanza Ile ahadi ya awali ya kila mmoja kupewa m10 haijatekeleza.
 
Wote wanastahili...! Ila aliyejitolea kwa Kaseja yawezekana ndo uwezo wake. Sasa sisi tumpongeze kwa moyo wa kutoa halafu kuhamasisha wengine wajitoe...badala kusubiri tufungwe tuanze tulaumu
 
Ile milioni 10 imetoka wapi?Kwa mfuko upiiii
 
Wanastahili wote.
Yy kaanza na kaseja we fuata na Gadiel.
Mm nije na Nyoni na mwingine achague mtu wake hivi kwanini sisi maskini ni walalamishi sana?
 
Wanastahili wote.
Yy kaanza na kaseja we fuata na Gadiel.
Mm nije na Nyoni na mwingine achague mtu wake hivi kwanini sisi maskini ni walalamishi sana?
Mpira wa miguu sio kama draft au table tennis. Zawadi isiporatibiwa Kwa ustadi inaweza kugeuka sumu kali (detromental) kwenye jambo linalokisudiwa
 
Mpira wa miguu sio kama draft au table tennis. Zawadi isiporatibiwa Kwa ustadi inaweza kugeuka sumu kali (detromental) kwenye jambo linalokisudiwa
Mkuu hajasema kwa ajili ya kufuzu kasema nyota wake wa mmchezo.
Asa kuna man of the match wawili
 
Mkuu hajasema kwa ajili ya kufuzu kasema nyota wake wa mmchezo.
Asa kuna man of the match wawili
Kama wale wapigaji wetu wa penalties wangekosa wote kufunga bado man of the match angepewa hizo 10,000,000? Je, kama Samata asingefunga lile bao na Burundi wakapata bao 1 je, man of the match angekuwa Kaseja?
 
Ulivyo andika heading kidogo imefanya nimepata mshtuko, na nimejikuta kama mzazi nina wahurumia wazazi wako pia kwa hasara walio ipata
Daah na mimi nimeshtuka sana mkuu.
 
Kama wale wapigaji wetu wa penalties wangekosa wote kufunga bado man of the match angepewa hizo 10,000,000?
Kwani mkuu mfano mfungaji bora asipopewa pasi atafunga magoli?
Ulinganishi unaoutaka hapa hauwezekani hata siku moja man of the match hawezi kuwa zaidi ya mmoja.
 
What a coincidence!

Huwa anawapa ma goalkeeper tu. Alianza Manula, sasa Kaseja.

Sio bure.
 
What a coincidence!

Huwa anawapa ma goalkeeper tu. Alianza Manula, sasa Kaseja.

Sio bure.
Sijui mabeki wasingemkinga na mashuti ya adui hali ingekuwaje kwa kipa wetu.
 
Ulivyo andika heading kidogo imefanya nimepata mshtuko, na nimejikuta kama mzazi nina wahurumia wazazi wako pia kwa hasara walio ipata
Huna vision, unataka kila kitu kiwe sasa.
 
Zawadi ya Timu nzima,imepitia kwa nahodha.(Sina uhakika though)
 
Zawadi ya Timu nzima,imepitia kwa nahodha.(Sina uhakika though)
zawadi, kanuni na vigezo lazima vifahamike kwa wote kabla ya game kuanza ili kuwe na equal chance kwa kila mmoja kuipigania na kuipata. Aina ya zawadi na vigezo haviwezi kuwa mfukoni kwa mtu.
 
zawadi, kanuni na vigezo lazima vifahamike kwa wote kabla ya game kuanza ili kuwe na equal chance kwa kila mmoja kuipigania na kuipata. Aina ya zawadi na vigezo haviwezi kuwa mfukoni kwa mtu.

Una hoja ya msingi Kavulata
 
Mabeki, Viungo, wawinga, na mafowadi kwenye mechi na Burundi hawakustahili pongezi pia kama za kipa wetu Juma Kaseja?
Wewe umewapa wachezaji gani zawadi mbali ya kaseja ?
au zawadi yako ni kujaribu kutafuta mapungufu ya zawadi aliyoitoa Makonda ?
 
Back
Top Bottom