sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Hata mimi nimeshangaahili ni swali au maoni?
zawadi nzuri kwa mpenzi wangu ni mimi mwenyewe!
Kama ni mkristo BIBLIA inamfaa zaidi ili awe anamkumbuka muumba wake. 😛ray2:
Me napenda aniletee undewear na nightdress na vitega vingine
Then me nampa zawadi yake wakati wa ku model for him tukiwa chumbani na muziki laaini
geen wanitoa udenda........
@DR jamani huo udenda umepita wapi wakati mdomo wako umeweka plaster za kutosha hivyo, usikute na mikono imefungwa kabisa sasa geen akitokea kaka huna la kufanya, itabidi bujibuji apite hapo kwa bahati mbaya aone unvyombwela kwa kufurukuta, hapo ndo geen atapoana kilio na kusaga meno.geen wanitoa udenda........
Je! ni zawadi gani nzuri ya kumpa mwenzi wako?????????
Hili swali naona kama tunategana, maana ukweli watu siku hizi wanapenda fedha zaidi. Sawa unaweza kumpelekea ua, unaweza kununua nguo na vitu vingine, lakini watu wanapenda fedha.
Zawadi ifaayo katika maisha ya ndoa ni kupendana kwa dhati na kufanyiana mambo mazuri. Mheshimu mwenzi wako, na endelea kubuni mambo mazuri ya kumfanyia. Kama kweli unampenda, ni wazi hutapenda awe mnyonge.
Katika mapenzi kila mwanandoa anapaswa kufahamu kuwa analo deni la kumpenda na kumfanyia mema mwanandoa mwenzake.
Unaweza ongozea majibu.................
Kama ni mkristo BIBLIA inamfaa zaidi ili awe anamkumbuka muumba wake. 😛ray2: