KUNANI PALE TGA
Senior Member
- Feb 6, 2009
- 138
- 7
umesahau kidogo mwandishi...............MKAPA ALIPEWA PIA ZAWADI YA MGODI WA KIWIRAhabari za weekendi.
sasa naona muda unayoyma kwa Jk,sijui kama 2010 atakanyaga tena ile nyumba ya zamani kule magogoni.kwa hiyo wana JF,kama ilivyo desturi yeu,tuna takiwa kumpa zawadi za kuinua mgongo marais wetu,ili wakishaondoka ikulu,hizo zawadi zitawasaidiakwenye maisha yao ya uzeeni,kwa hiyo,JK tutampaa nini?nakumbuka mkapa alipewa kadhahabu,ka sime,ka mkuki,ngombe na km.sis wana JF tutamwandalia nini?anzeni kumega mifuko yenu sasa.wakati ndio huu...
hii ameshaifanya vya kutosha mpaka imemkifu...........mimi binafsi nimaamua kumwandalia ka world tour kwenye cruise ship,ya mwaka mzima...
he..............kumbe rais hapendwi kiasi hicho?mbona makamba anakwambia redet wameusifu sana uongozi wa jkGunia la chawa
he..............kumbe rais hapendwi kiasi hicho?mbona makamba anakwambia redet wameusifu sana uongozi wa jk
Masanilo hata hao wanaojidai wanampenda ni ule msemo kua ukila na kipofu....................."Msiompenda mko 15%, 70 % wanafata upepo, na 15 % hawa wanamfagilia sana! (Kikwete, 2009).