Aha!! Aha!!! mimi napenda stail ya kwake ya Uongozi wake kwani hakuna Rais kama huyu alivyoongoza vyema ila tu ameshindwa kuwafunga mafisadi ambao ni rafiki zake. Kwani nyuma ya Pazia na yeye anahusika sasa akiwahukumu na yeye atawekwa ubaoni. Hongera Rais wetu kwa kutuongoza vyema staili yako ambayo inahitaji muda wanainji wajifunze ili waweze kuboresha maisha yao kwani katika sera zako walifikiri utawaletea ugali mlango ndo maana wanakuandika vibaya mshindwa kwa jina la Yesu kristo.