HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Habari wakuu,
Leo ni happybirth day ya mpenzi wangu, sasa hapa najiuliza nimnunulie zawadi ipi kati ya hizi?
1.Pipi
2.Choclate
3.Ndizi
4.Andazi
5.Apple
Hivi zawadi gani atafurahi sana nikimnunulia?