Zawadi gani?

Zawadi gani?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Baada ya kukaa na house boy kwa miaka 10 bila shida. Baba mwenye nyumba akaamua kumzawadi house boy, lakini alitaka ushauri kutoka kwa mkewe.

Mume: Tumpe zawadi gani?

Mke: Tumtahiri!!!

🥱🥱🥱🥱🥱
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom