Zawadi Mwanangu alizompelekea Mama yake (My -X) zimezua utata

wazaz hawaachan endelea kumlea huyo mama na mwanae acha hlo dume shamba.
 
Hata mimi ningejawa wasiwasi..
 
Mkiambiwa muache uzinifu hamtaki. Hayo ndio baadhi ya matatizo ya uzinifu. Kila mmoja atabeba msalaba wake.
 
Mkiambiwa muache uzinifu hamtaki. Hayo ndio baadhi ya matatizo ya uzinifu. Kila mmoja atabeba msalaba wake.

Kaka katika mazingira haya huo uzinifu unakujaje??
Katika hili suala nyinyi hapa Wana-Jf ni wenzangu, ningekua nime-do nae nisingewaficha wakuu, mi sija-do nae kabisa, na hata mawasiliano na mwanae wanafanyaga wenyewe kupitia simu ingine ya nyumbani anayotumia mtoto.
Usinihukumu kama huyu Jamaa mkuu wangu, we ni mwenzangu,
tusaidiane kaka,
Leo kwangu, kesho kwako.
 
Shark
Insecurity ya huyo bwana haitaisha! Ongea na mzazi mwenzio, umchukue mtoto wako ukae naye. Kama kumsaidia mama mtoto wako mfungulue biashara kwa siri; then kata mguu.
 
Shark
Insecurity ya huyo bwana haitaisha! Ongea na mzazi mwenzio, umchukue mtoto wako ukae naye. Kama kumsaidia mama mtoto wako mfungulue biashara kwa siri; then kata mguu.

Mtoto wangu yupi sasa?
Mkuu hujaelewa hii issue labda, mtoto wangu ninakaa nae mwenyewe, huyo aliezaliwa si wangu, ninahusiana nae tu kama mdogo wake mwanangu kwa mama mmoja.
 
Papa ulishajua kuwa unamzidi kipato qanini ulipeleka zawadi kubwa (qa upande wake) kuliko kipato chake? Hiki ndio chanzo cha tatizo. Qa mtoto wa qanza ulipeleka zawadi gani? Wengine zawadi tupelekazo mara nyingi qa waliojifungua ni fedha na sio mali . Plz jifunze kutokana na makosa. Lakini Iwe itakavyokuwa kipimo cha vinasaba ni muhimu ili kuondoa utata. La mwisho, qa kipindi hiki ambacho mawasiliano na wenzake sio mazuri "qa siri sana mpe hela ndefu ya kuweza angalau kumhifadhi kwa miezi mitatu.

Bazazi ni Bazazi!
 
Hapa sichangii kitu maana nna maslahi tena ya kutosha tu!
 
Mtoto wangu yupi sasa?
Mkuu hujaelewa hii issue labda, mtoto wangu ninakaa nae mwenyewe, huyo aliezaliwa si wangu, ninahusiana nae tu kama mdogo wake mwanangu kwa mama mmoja.

Aah! I got u, ila honestly what do u feel about mzazi mwenzio? Maana kama ni issue ya zawadi tu, mbona kumpa mama yake ilikuwa rahisi tu!
 
Aah! I got u, ila honestly what do u feel about mzazi mwenzio? Maana kama ni issue ya zawadi tu, mbona kumpa mama yake ilikuwa rahisi tu!

Zawadi sio ya mimi na mama yake,
Ni between Mwanangu na Mdogo wake aliezaliwa.
Sema tu ni wazi kua mwanangu hana kipato cha kununua yeye hiyo zawadi, Na huyo mdogo wake sio Mkubwa wa kuweza kupokea zawadi, so ikabidi mimi ninunue na Mama mtu apokee.
 
Sishauri kijana kuoa mwanamke ambaye ameshazaa na mwanaume mwingine na mwanaume huyo bado yuko hai. nafikiri ni vizuri kwa mtu mwenye miaka kuanzia 50 ndio inaingia akilini kuoa mwanamke wa category hiyo, ukiwa bado kijana tafuta mwanamke ambaye yuko fresh.
 
Dah! Hawa wazee nao noma, badala ya kutatua tatizo wao wanaongeza tatizo, ukubali mtoto wako wakati si wako, je ukifanya hivyo halafu huyo mwanaume akaamua kumuacha huyo x wako itakuwaje.

Halafu nikuulize shark, wewe umeshaoa?

Wazee walioshirikishwa hapa ni wa upande wa pili, but tatizo la wazee hawa ni kua tayari wana " Marking Scheme" zao kichwani, eti wananiambia nikubali kua mtoto ni wangu ili yaishe
 
huyo mume wa x wako ana matatizo makubwa ya kutojiamini
 
insecurities kwa mwanaume haziezi kukosa! kuna watu wana argue as if hyo jamaa ana behave irrational si kweli infact ndo hasa anavotakiwa kubehave! we mtu walikuwa wapenzi na mkeo mpaka wakazaa mtoto! pamoja na ilo jamaa kaamua kuoa! afu unagundua wanawasiliana na zawadi juu! *****# type! inaleta dharau kwa mwanaume!!! insecurity = wivu!!
 
Mkuu kwa mwanamke je? unashauri vp?
 
Dah! Hawa wazee nao noma, badala ya kutatua tatizo wao wanaongeza tatizo, ukubali mtoto wako wakati si wako, je ukifanya hivyo halafu huyo mwanaume akaamua kumuacha huyo x wako itakuwaje.

Halafu nikuulize shark, wewe umeshaoa?
Siwezi kukubali kulea mtoto asie wangu, hata kidogo, na DNA niko tayari kupima wakikubali.
Kuhusu kuoa bana bado kwa kweli,
 
Sio mwanamme alokamilika nae huyu kwani kunatatizo gani kama ukipeleka zawadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…