Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
alikua wa yule mzebedayo ambae aliesogea kumuuliza Petro kama na yy ni mmoja wa wanafunzi wa Yesu.
Aisee mzee mwalubadu kiboko ya ngadu.Alikuwa wa mzee mwalubadu, yule mzee bingwa wa kuvua ngadu ambae aliwapakia yesu na wanafunzi wake, mpaka yesu alipotembea juu ya maji, si unampata eeh, ndio mwenye jogoo yule.