Zawadi unayoweza kumpa mwanamke na asikuache ni mimba

fredo fred

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
748
Reaction score
1,615
*_Nimekaa nimewaza sana kuhusu mwanaume aliyejiua kisa Mwanamke aliyemfungulia duka na saloon nikajifunza mambo yafuatayo...._*

zawadi anayoweza kupewa mwanamke na asikuache ni mimba pekee na wala sio fedha na mali. Sasa kuna wengine wanajifanya kuwalipia ada..acha kuingilia majukum ya watu, hiyo ni kazi ya babaake.

Wanaume jifunzeni hatutaki tena mtu afe kizembe
 
Wenzio wengi wameachwa pamoja na kutia mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…