Zawadi.... Ushawahi pata au kutoa?

hii imekaa vizuri sana nimeipenda sana hasa rangi natumaini ataipokea kwa mikono miwili
hata mie nimeipenda sana ile kitu unaivaa wakati a uchokozi au mjamaa kakasirika umemuudhi ukivaa hicho kinguo tu ugomvi unaisha hapohapo
 
Yaah mimi huwa nampa sana wangu, na hata cards!!! na kwa bahati nzuri, hata yeye anajitahidi sana kunipa zawadI
 
Jamani mi sina wa kuninunulia zawadi:confused2::confused2:
 
Asante blackberry, hope hawa wakuu wa hapa JF wataanza kumwaga gifts lol, spoil the ladies Men!:majani7:
 

Nahii ya kwenye red ni zawadi yangu kwako wewe DUCHES OF ........nilifurahi sana nilivyokuvisha hiyo pete ulovaa na hii zawadi nyingine nimekuandalia utakapo nizalia mtoto.

Expression of love (Valentine's Day) or friendship.
Expression of gratitude for a gift received.
Expression of piety, in the form of charity.
Expression of solidarity, in the form of mutual aid.
To share wealth.
To offset misfortune.
Offering travel souvenirs.
Custom, on occasions (often celebrations) such as
A birthday (the person who has his or her birthday gives cake, etc. and/or receives gifts) This is most commonly from a family member or girlfriend/boyfriend.
A potlatch, in societies where status is associated with gift-giving rather than acquisition.
Christmas (People give one another gifts, often supposedly receiving them from Santa Claus.)
Saint Nicholas (People give each other gifts, often supposedly receiving them from Saint Nicholas.)
A wedding (the couple receives gifts and gives food and/or drinks at the wedding reception.)
A wedding anniversary (each spouse receives gifts.)
A funeral (visitors bring flowers, the relatives of the deceased give food and/or drinks after the ceremonial part.)
A birth (the baby receives gifts, or the mother receives a gift from the father known as a push present.)
Passing an examination (the student receives gifts.)
Father's Day (the father receives gifts.)
Mother's Day (the mother receives gifts.)
Exchange of gifts between a guest and a host, often a traditional practice.
Lagniappe.
Retirement Gifts
Congratulations Gifts
Engagement Gifts
Wedding Gifts
Anniversary Gifts
Birthday Gifts
House Warming Day Gifts
New Baby Gifts
 

Attachments

  • gift-box.jpg
    8.5 KB · Views: 28
Heeeeeeeee kweli hii ni kiboko
 
kinamama ngojeni niwaibie kidogo,kama kuna mdau ambaye ana mme/bwana mhaya basi kwetu ishara kuu ya upendo ni mke kumletea mmewe/bwanake senene, na mwanaume ni kumzawadia mkewe 'embila' (shanga),haya mambo mengine ya shati,na sox na pafyumu ni ya mujini mujini,wengine hatuyajui.
 
Duh hizi zote utaniletea kweli
 
Aisee lizzy mpaka uende dar?si uniletee mimi hapa sanawari
 
napendaga kutoa zawadi ya mashati mana nikimuona mtu najua rangi/muundo gani inampendeza pia zawadi ya saa hata uturi. nimepokea perfumes, trip suprises, diamond necklace...huwa zawadi kupeana inanoga sana!!
 
Duh hizi zote utaniletea kweli

Occasional to receive one gift from the above it is not bad....Darling!
First am going to give you the one you proposed to me yesterday.
How nice it is........G.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…