kutwamara3
Senior Member
- Jul 16, 2013
- 170
- 27
Habari zenu wakuu,kama heading inavyojieleza hapo juu,nina rafiki yangu yupo Denmark kimasomo lakini amehitimu mwaka huu.Rafiki yangu huyo anamiaka 26,hajawah kusex hata siku moja ndio maana anatafuta mwenza mwenye sifa kama yake.Wenye vigenzo mniPM.