Zamanii hakukuwa na huduma za Mpesa, but its an interesting story though,Zamaniiii nilichoma kiazi kitamu nikaweka kwenye bahasha ya kaki ile ndogo nikadumbukiza kwenye bahasha nyingine. Nikaweka kitabu ndani kupoteza ushahid mtu asijue kuna nn huyooo ofisi ya danga fulani. Nikafika reception nikampa ps mzigo huu wa bosi wako mpelekee kabeba namuona kapeleka ofisin namuona alivyorudi kanambia mzigo umefika huyoo nikarudi zangu home loh mapenzi bana nikimulove mtu kweli namfanyia vituko vya kila aina. Basi huyo njinga alifurahi aina mfano. Luckyline mtego wangu wa noti ukakamilika baada ya siku mbili. Sms ikaingia " luckyline yo the best woman" ahaaaa ikafata sms ya mpesa.nikasema athante yethu.
Hapo tu kwenye mpesa ndo umeharibu, lakin nimependa kisa chakoZamaniiii nilichoma kiazi kitamu nikaweka kwenye bahasha ya kaki ile ndogo nikadumbukiza kwenye bahasha nyingine. Nikaweka kitabu ndani kupoteza ushahid mtu asijue kuna nn huyooo ofisi ya danga fulani. Nikafika reception nikampa ps mzigo huu wa bosi wako mpelekee kabeba namuona kapeleka ofisin namuona alivyorudi kanambia mzigo umefika huyoo nikarudi zangu home loh mapenzi bana nikimulove mtu kweli namfanyia vituko vya kila aina. Basi huyo njinga alifurahi aina mfano. Luckyline mtego wangu wa noti ukakamilika baada ya siku mbili. Sms ikaingia " luckyline yo the best woman" ahaaaa ikafata sms ya mpesa.nikasema athante yethu.
Kwanza tumuache aelezee zamani ipi usikute mybe miaka 5 nyumaZamanii hakukuwa na huduma za Mpesa, but its an interesting story though,
Zamanii hakukuwa na huduma za Mpesa, but its an interesting story though,
wala sio zamani sana 2013 sio zamani kama unavyozani ni just uandishi.Zamanii hakukuwa na huduma za Mpesa, but its an interesting story though,
mujini bila mpesa? Ebu acha utani unataka nipauke? Aku nani hasiependa mpesa?Hapo tu kwenye mpesa ndo umeharibu, lakin nimependa kisa chako
Zamanii hakukuwa na huduma za Mpesa, but its an interesting story though,
inategema zamani gani jamani kwani kuna kigezo cha zamani?mujini bila mpesa? Ebu acha utani unataka nipauke? Aku nani hasiependa mpesa?
habari waungwana; leo bana katika kupita pita vile vijiwe ambavyo sijawapa hai siku nyingi nikakutana na huu mzozo bibie kamnunu lia mpenziwe zawadi ya andazi moja tu kamtafuta full kupiga simu uko wapi baada ya kumuona akampa zawadi ya andazi alafu akasepa daa waliyokuwepo walitoa mitizamo tofauti kila mtu kwani kuna ubaya wa andazi kuwa zawadi?
hahaaa....halafu hii formula wanawake wameitoa wapi?yani zawadi zote za wanawake kwenda kwa wanaume MARANYINGI huwa ni hizi ulizotaja. je wanawake wamekosa ubunifu au ni kubana matumizi wanahofia kununua vitu vya bei ghali? ni nadra MNO mwanamke kumzawadia MUMEWE kiwanja au kitu cha gharama kubwa hata kama mwanamke huyo ni TAJIRIWanaume wa kibongo mmezoea zawadi za boxer, soks, singlet na handkerchief..... Mwaka wa mabadiliko huu tegemeeni maandazi, vitumbua, viazi vitamu, mihogo n.k
Wao wakianza kutoa vitu vikubwa sanaaa na sisi tutajiongeza, Ila kwa kuwa wanatoa vya kawaida havishutushi basi tutaishia humohumo kwenye vesthahaaa....halafu hii formula wanawake wameitoa wapi?yani zawadi zote za wanawake kwenda kwa wanaume MARANYINGI huwa ni hizi ulizotaja. je wanawake wamekosa ubunifu au ni kubana matumizi wanahofia kununua vitu vya bei ghali? ni nadra MNO mwanamke kumzawadia MUMEWE kiwanja au kitu cha gharama kubwa hata kama mwanamke huyo ni TAJIRI
hahaha wanawake wanahongwa magari,nyumba nk...bado hivi ni vitu vidogo? hahaa hatareeeeeeWao wakianza kutoa vitu vikubwa sanaaa na sisi tutajiongeza, Ila kwa kuwa wanatoa vya kawaida havishutushi basi tutaishia humohumo kwenye vest
Umesahau boga Hehehehe we kibokoWanaume wa kibongo mmezoea zawadi za boxer, soks, singlet na handkerchief..... Mwaka wa mabadiliko huu tegemeeni maandazi, vitumbua, viazi vitamu, mihogo n.k
Tena unaliweka kwenye gift paperUmesahau boga Hehehehe we kiboko
Kiwanja cha nini bana handkerchief inatosha tehhahaaa....halafu hii formula wanawake wameitoa wapi?yani zawadi zote za wanawake kwenda kwa wanaume MARANYINGI huwa ni hizi ulizotaja. je wanawake wamekosa ubunifu au ni kubana matumizi wanahofia kununua vitu vya bei ghali? ni nadra MNO mwanamke kumzawadia MUMEWE kiwanja au kitu cha gharama kubwa hata kama mwanamke huyo ni TAJIRI
mujini bila mpesa? Ebu acha utani unataka nipauke? Aku nani hasiependa mpesa?
Usingepokea akyanan Kesho yake Jamaa angetangaza ndoa fasta😀mujini bila mpesa? Ebu acha utani unataka nipauke? Aku nani hasiependa mpesa?