kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Africa imejaa madikteta wasiojali nini kitatokea kwa raia wao hata kama nchi zao zitawekewa vikwazo au hata kama wananchi wakiuana wenyewe kwa wenyewe au hata hali ya maisha yao kiuchumi ikiwa mbaya sana kwao haiwahusu. Mpaka sasa Uhuru ameonyesha kuwa yeye sio miongoni mwa marais hao.
Mfano, kitendo cha Raila kujiapisha mwenyewe kuwa Rais Wa wananchi ingetosha kupigwa risasi 42 na kufa kama Raila angekuwa raia wa baadhi ya nchi fulani ninazozijua mimi.kwa.
Ona Kenyatta alivyosimama pamoja tena na Raila kuahidi kushirikiana kwa maslahi ya Kenya na wakenya jambo ambalo ni nadra kuliona kwa marais wengine Africa. Kitu kama hicho kilishindikana kwa Zimbabwe, Sudani Kusini, Somalia, Uganda na mataifa mengine ambao tawala zao hazishauliwi na yeyote yule under the moon.
Nitaishangaa dunia kama kiongozi kama huyu wa Africa ambae alikubali hata uchaguzi ufutwe na mahakama ishindwe kumtambua.