Zawadi yangu kwa watumiaji wa JF

Yaani hiyo kuwazia rent, taxes etc. na kuvichukia ni viashiria tosha kwamba ndio ushakua hivyo. Ha ha ha, me usafiri wako tu, teh!!
 
Yaani hiyo kuwazia rent, taxes etc. na kuvichukia ni viashiria tosha kwamba ndio ushakua hivyo. Ha ha ha, me usafiri wako tu, teh!!
Kazi ipo mwaka huu!
 
Yaani hiyo kuwazia rent, taxes etc. na kuvichukia ni viashiria tosha kwamba ndio ushakua hivyo. Ha ha ha, me usafiri wako tu, teh!!

mmmh....ulikuwa unaongea na Pape?
 
hiyo picha ya kwanza ni kuwatafuta tu wenzio uchokozi,sio vizuri!
 
mh!!jamani izi zawadi zinanitia uchungu mwingi,sasa sijui ni zawadi gani hizi zinazomfanya mtu awaze sana????????????
 
Duh! ngoja nikapige nguna na Mnyama sasa hivi,
umenikumbusha nahitaji kula.
 
kwa picha ya kwanza watu wa kilmanjaro tunashukuru sana japo kinywaji hujaweka lakini usihofu tutakuunga mkoo kwa vinywaji vichungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…