Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Habari mabibi na mabwana,
Mimi Avatar mok katika kuazimisha siku pendwa ya akina mama ama dada zetu. Napenda kutoa vocha ya buku mbili kwa wadada wa 5 kila mmoja kama shukrani kutambua uwepo wenu.
Sasa sijajua utaratibu uweje ili wadada watano wapate vocha chap chap.
Nimefikiria wadada wa tano wa kwanza kuchangia hapa. Lakini kama kunawazo lingine na wengine wanaopenda kuongezeka.
Karibuni