Shosti wewe wa tanoMimi wanne
We watano mama naona tumekamilika sasa hahahahha jamaniMimi wanne
List imekamilikaa natumaini hakutakuwepo na manunguniko sifa ya mwanamke ni kuwa sharp lol ......raha ya mwanamke zawadiWe watano mama naona tumekamilika sasa hahahahha jamani
ShukranWe watano mama naona tumekamilika sasa hahahahha jamani
ShougaaaaaaaaHayaa mimi wa tatu ......
Wadads wa shokaa tupo hapa kwanguaa vocha tutumiee pm lolz ndo raha ya kuwa mwanamke hii jamani
Karibu mamaShukran
Habari mabibi na mabwana,
Avatar mok
Tunakusubiri sponser wetu wa leo.......
Shosti utaletaa mkanganyiko mwishowe tunyimwee lolNiongeze me wa 6 nmechelewa kidoogoo