Bado nakwambiaJamaa bado hajafanikisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado nakwambia
Labda ngoja tusubiri mpk kesho tuone jamaa katupanga vizuri duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu kuweni wavumilivu zutakuwa ziko kwenye process
Nadhani ni ishu za logistics tu hizo ata wapa.Labda ngoja tusubiri mpk kesho tuone jamaa katupanga vizuri duh
Labda ngoja tusubiri mpk kesho tuone jamaa katupanga vizuri duh
Hahahahahhaa niwmchoka na ktoa madaHahahahaha nakojoaaaaaaaaa
Vya bure vitawauwaMkuu nasubiri vocha yangu....ha ha haaa
Fanya kazi wwHaya na mie wa pili hahaha
Duuh!omba omba MPA jmfHayaa mimi wa tatu ......
Wadada wa shokaa tupo hapa kwanguaa vocha tutumiee pm lolz ndo raha ya kuwa mwanamke hii jamani
Na wew kapeace unaomba vocha jaman....unadhalilisha snHalotel natumia
Bure mbaya...Mimi wanne
Kuna mahali nimekukwaza labda??Fanya kazi ww
Eeh!spend omba ombaKuna mahali nimekukwaza labda??
Hahahaaaa. Haya nasubiria. [emoji12] [emoji12] [emoji12]niko apa sponser ucjar
Haaaaaah aiseeeList imekamilikaa natumaini hakutakuwepo na manunguniko sifa ya mwanamke ni kuwa sharp lol ......raha ya mwanamke zawadi
Unatamanisha wenzio, maisha hayako hivyo unless Smart911 anajiongeza na nganda lakini kama anahangaika kihalali naomba nipishane nawe au unawakoga aliokuwa anakula? Nakumbuka Hadith zako katika uchaguzi zinaitwa fitina! Kamati ya fitina ya mpinzani wako zinapita na kujigamba kuwa umewahonga mamilion na watu wengine wananuna na kukuona ni mbaya kura zinayesa! Isije ikawa unarusha ndege wake kijanja
Upo sawa kabisa mi hata nabisha basiii! Thou wewe nishakujua lengo lako si jema hata.... Una yako wewe tangu Ile Juzi nitoe uzi wa anniversary ndo nimeanza kukunotice hii mara ya tatu... Mention mbili zote za chochezi nahii quote.. Naweka kumbukumbu tu hearly mwingine huyu mpe Ile sare.Unatamanisha wenzio, maisha hayako hivyo unless Smart911 anajiongeza na nganda lakini kama anahangaika kihalali naomba nipishane nawe au unawakoga aliokuwa anakula? Nakumbuka Hadith zako katika uchaguzi zinaitwa fitina! Kamati ya fitina ya mpinzani wako zinapita na kujigamba kuwa umewahonga mamilion na watu wengine wananuna na kukuona ni mbaya kura zinayesa! Isije ikawa unarusha ndege wake kijanja
Maskini ya mungu pole maana ukisikia paaaaUpo sawa kabisa mi hata nabisha basiii! Thou wewe nishakujua lengo lako si jema hata.... Una yako wewe tangu Ile Juzi nitoe uzi wa anniversary ndo nimeanza kukunotice hii mara ya tatu... Mention mbili zote za chochezi nahii quote.. Naweka kumbukumbu tu hearly mwingine huyu mpe Ile sare.
Mchawi si lazima aroge
Smart911 ni huyu hapa @namuruk. old member with new id
Maskini ya mungu pole maana ukisikia paaaa
Upo sawa kabisa mi hata nabisha basiii! Thou wewe nishakujua lengo lako si jema hata.... Una yako wewe tangu Ile Juzi nitoe uzi wa anniversary ndo nimeanza kukunotice hii mara ya tatu... Mention mbili zote za chochezi nahii quote.. Naweka kumbukumbu tu hearly mwingine huyu mpe Ile sare.
Mchawi si lazima aroge
Smart911 ni huyu hapa @namuruk old member with new id