Mkuu nasubiri vocha yangu....ha ha haaa
Hahaha tusubiri zawadi ya hizo vocha sasaMi airtel best
Shukran, Happy women's day kwako pia mamyHappy women's day shosti
We wa sita ni PmNiongeze me wa 6 nmechelewa kidoogoo
Hahahahaha yaaan ntakiajee jomoni😀 😀 😀 😀 subirini mpaka kesho
Utakua umefanya la maanaSjui na mimi nimpe ofa wa sita alo chelewa!
[emoji4] [emoji4] [emoji4]We wa sita ni Pm
Nakupa mie
Haya lets do itUtakua umefanya la maana
Nasubiria vouchaShukran, Happy women's day kwako pia mamy
tehteehh....[emoji12]Wekeni na namba zetu hapa tusaidie kuwawekea vocha
Niongeze me wa 6 nmechelewa kidoogoo
tehteehh....[emoji12] [emoji12]Sjui na mimi nimpe ofa wa sita alo chelewa!
Shost wa 6 atapata vocha kablaa yetu naonaa kuna new sponserNasubiria voucha
Me sipo huko nshapata wa kunipaShosti utaletaa mkanganyiko mwishowe tunyimwee lol
Hahahahtehteehh....[emoji12] [emoji12]
Ndo maana naonaa kutanguliaa sio kufikaa jomoniMe sipo huko nshapata wa kunipa
I'm humble you know.....[emoji144] [emoji144]Hahahah
Hebu kuwa mtulivu hapo
Mkuu nasubiri vocha yangu....ha ha haaa
Haya na mie wa pili hahaha
Hayaa mimi wa tatu ......
Wadada wa shokaa tupo hapa kwanguaa vocha tutumiee pm lolz ndo raha ya kuwa mwanamke hii jamani
Halotel natumia
List yangu imekamilika...Mimi wanne