Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

List yangu imekamilika...
Happy women’s day to y’all.

Pin za vocha PM tukutane
Thank you dear....be blessed na Mungu aongeze pale kilipotokaaa na kiongezeke zaidi na zaidi........i love uuu
 
Unatafuta fame tu ya kujaza siredi,eti mje na mawazo,then?
 
Hayaa mimi wa tatu ......
Wadada wa shokaa tupo hapa kwanguaa vocha tutumiee pm lolz ndo raha ya kuwa mwanamke hii jamani
Hujatumika kijinsia,utaelewa nini maana ya neno"-ke-"...na kwann mwanaume akiitwa mwanamke anafura ila kwa mwanamke kuitwa mwanaume anachekelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…