Alafu huo ufame utanisahidia nini JF namimi sijulikani[/QUOTE
Achana na watu wenye roho ndogo ukimfatiliaa utakutaa maisha yake ni ya ajabu saana na mtu kama huyu huwa hafanikiwi kamwe ,katika maisba usimfatishe mtu fata moyo wako na fanya kile itakacho
Shosti subiri siku ya wanawake ya mwakaniWameshapatikana hao wadada jaman
Watatoa za waume zao na mtoa Vocha akifuatilia marinda kwisheneyMkipewa vocha mlete mrejesho maana inaweza kuwa njia ya kamatia njia
Ok we are coming and thank youList yangu imekamilika...
Happy women’s day to y’all.
Pin za vocha PM tukutane
TushaitwaShost wa 6 atapata vocha kablaa yetu naonaa kuna new sponser
Usiende wewe huo mtegoOk we are coming and thank you
Tusubiri mrejeshoWatatoa za waume zao na mtoa Vocha akifuatilia marinda kwisheney
Nipo pm tunachat sijui tutaishiaa wap u never knw ntapata mpkaa dinner lolTushaitwa
Achana na wavimba macho timiza ahadi nasi tukutunuku shukraniWaswahili ndio tulivo...
Kama kuna mtu nitamwomba hata namba yake aje hapa kutoa shuhuda
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaa. Na mie wa post ya 60 inabidi nifikirie kidogo basi [emoji12] [emoji12] rafiki sababu pia na mie mlengwa wa hiyo Sikukuu. Teh Teh
Waswahili ndio tulivo...
Achana nao kwani sisi watoto useme utatuforce ??si maamuzi yetu wenyewe jaman
Kama kuna mtu nitamwomba hata namba yake aje hapa kutoa shuhuda
Anacheza na wanawake wa JF ni wajanja akina mahondaw na story za kutungaTusubiri mrejesho