Wanaume wana wivu jaman khaaaaAchana na wavimba macho timiza ahadi nasi tukutunuku shukrani
Hahahaaa. Duuh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu mi nasubiri alie pata vocha alete mrejesho na kama haja wapa wasemeAnacheza na wanawake wa JF ni wajanja akina mahondaw na story za kutunga
Naweza jipatia shemeji basi km anataka kukupa na dinner ya women's dayNipo pm tunachat sijui tutaishiaa wap u never knw ntapata mpkaa dinner lol
Nimefurahi mkuu kwa kuwa umejitahidi kujieleza kuwa sikukuu inakuhusuHahahaaa. Duuh
Sio kwa kunicheka Ndugu yako kiasi hicho. Lol
Hahahaaa. Usijali rafiki nilikuwa nachangamsha genge tu.Haha bajeti bajeti nduguu... ndio inasoma wa 5 tu
Wamekuja?
Mkuu mi nasubiri alie pata vocha alete mrejesho na kama haja wapa waseme
Hahahaaaa. Bora kama nilichoandika kimekufanya ufurahi ndugu.Nimefurahi mkuu kwa kuwa umejitahidi kujieleza kuwa sikukuu inakuhusu
Vouchers 5 ni elfu 50 unadhani kwa usawa huu nani atatoa na no strings attached! Magreen hayoMkuu mi nasubiri alie pata vocha alete mrejesho na kama haja wapa waseme
[emoji3][emoji3][emoji3] jaman kwahiyo wameshapatikanaShosti subiri siku ya wanawake ya mwakani
Hahaha lol shogaa we subiri u never knw penye wawili hakiharibiki kituNaweza jipatia shemeji basi km anataka kukupa na dinner ya women's day
Mi nataka kujua kuwahi kwako kumekusaidia?Kwani ww unataka nini jaman tuachee
Kumbe hata hamkuelewaaaa hebu mwacheni mwenzenuVouchers 5 ni elfu 50 unadhani kwa usawa huu nani atatoa na no strings attached! Magreen hayo
Ndio kimenifurahisha sanaHahahaaaa. Bora kama nilichoandika kimekufanya ufurahi ndugu.
Si unajua tena maisha yenyewe mafupi haya.