haha wew siumwambie yule shemej yet[emoji85] [emoji85] [emoji125]Nauliza jaman ili na me nipate hizo voucher
Shemej hausiki hapa zinatolewa za offer mbona we umeomba pia kwa nini usingemwambia shemeji yetu jamanhaha wew siumwambie yule shemej yet[emoji85] [emoji85] [emoji125]
hehehe basi Tusubiri sikukuu nyingineSio kwamba sitaki ila najiwazia mpaka tukienda si Sikukuu itakuwa ishajipitia zamani?
Hahaaa. Inabidi aisee.hehehe basi Tusubiri sikukuu nyingine
Muda bado upo kwann tusubir mwakani?Mwakani women's day nikumbusheni itakuwa zamu yangu
Wakuda wataanza pang'ang'a zao. Basi PasakaMuda bado upo kwann tusubir mwakani?
Lol
mie nimechungulia tu shemej yako kashanirushiaShemej hausiki hapa zinatolewa za offer mbona we umeomba pia kwa nini usingemwambia shemeji yetu jaman
Hata hiyo ni kubwa kwake.We jamaa ni hater! Mleta uzi amesema voucher tano za shilingi 2000 ambayo ni sawa na 10000.
Acha wivu wa kike
Yani hawa watoto wanahongwa laki sita na kukataa wewe unatoa 2,000 utakuwa kama Majuto anavyotupiwa zawadiAirtime boss ya buku mbili
Halotel na airtel naona aweke hapaMimi pia...
Am on my way hahhahaList yangu imekamilika...
Happy women’s day to y’all.
Pin za vocha PM tukutane