Naenda semaMimi wanne
Umemficha imebidi nipange foleni ya voucher hapaNaenda sema
Thubutu!Yani hawa watoto wanahongwa laki sita na kukataa wewe unatoa 2,000 utakuwa kama Majuto anavyotupiwa zawadi
hahaaa acha hzo basiii namimi naitolea macho hiyo hiyo mkuuAaah wacha bwana ni buku 2 tuu mzee, usibadili jinsia
Hivi ni mm bado au ni wotee ndugu mbona donatila ananirusha rohoSiku nyingine mkuu
Vipi shogaa ushapataa??Haya na mie wa pili hahaha
Sijapata mamy wewe je???Vipi shogaa ushapataa??
Hahaha hauko peke yako ujueHivi ni mm bado au ni wotee ndugu mbona donatila ananirusha roho
Shogaa kidawa vip zawadi ilifikaa???Halotel natumia
Hahahahaha nakojoaaaaaaaaaHahaha hauko peke yako ujue
niko apa sponser ucjarHahahaaa. Na mie wa post ya 60 inabidi unifikirie kidogo basi [emoji12] [emoji12] rafiki sababu pia na mie mlengwa wa hiyo Sikukuu. Teh Teh
Sijaona mpk sasa au pm yangu ndo mbovuShogaa kidawa vip zawadi ilifikaa???
Jamaa bado hajafanikisha?Sijaona mpk sasa au pm yangu ndo mbovu
Hapa nilitaka kesho nimkabe mtoa ahadi