mmh.....Kuna ndugu yangu alikutana na kimba la mavi lenye ujazo wa kama kilo moja hivi.
Si kila zawadi huwa nzuri hasa za harusi maana maadui pia huwa wapo katika kujipoza na machungu ya kukosa.
Hahahahahahahaaaaaaaa......, uhahahahahahahahhahahahaa...., kwiiiiii kwiiiiii kwiiiiiiiiKuna ndugu yangu alikutana na kimba la mavi lenye ujazo wa kama kilo moja hivi.
Si kila zawadi huwa nzuri hasa za harusi maana maadui pia huwa wapo katika kujipoza na machungu ya kukosa.
Ilikuwa wapi hiyo?Kuna maharusi walipokuja kufungua zawadi zao wakakuta kuna zawadi moja ina hirizi ambayo kwa maelezo yao ilikuwa inapumua, Wakaita watu na kuipeleka kwa mchungaji, wakafanya maombi na kuishia kuichoma moto. Maharusi raha ya ndoa imepotea tena. Kwasasa wanajaribu kuangalia mkanda wa video wakati wa zawadi ili wajue nani aliyetoa ile zawadi.
Haya jamani wale masingle kuweni makini na zawadi za harusi siku ya harusi yako.