Zawadi za TiGo...

Nyundo_tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
640
Reaction score
20
Wadau ningependa mnifahamishe jinsi ya kujishindia zawadi zitolewazo na TiGo... Je, hizo fedha za ushindi huwa kwenye vocha au baada ya kuingiza salio ndiyo utapata ujumbe wa kuonesha umeshinda?.

Na ni kuanzia vocha ya shilingi ngapi ndy unaweza kupata na fasi ya kujishindia?.
 
vocha mpya za tigo zina sehemu imeandikwa zawadi ambayo imefichwa, kwa hiyo unaikwangua hapo ukikuta kuna zawadi mfano sh 10000 kunakuwa na tarakimu 12 ambazo unaziingiza kwa kuanza na *104*.......#
 
....jana nilinunua vocha ya elfu tano nikapata zawadi ya tsh 100....
 
tangu zinatangazwa mimi hata sijaona vocha imeandikwa zawadi na ninarecharge almost daily si chini ya 5000,au kuna za zamani na mpya mtaani?
 
mkuu wa kujiexpress wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…