Wanaonyesha azam tv hata sasa game iko live ubc, Malawi tv, zbc 2 na crtv zote ziko azam tv
Dah aisee.. Nilidhani dish ndo suluhisho na nilikuwa mbioni kuchukua, heri niendelee na azam.. Asante mkuu.!Hao mkuu hakuna kitu ni longolongo tu
Kama ni hiyo naendelea na azam mkuu.. Lakini matangazo yalizidi sana kuhusu copa America, kumbe empty, duh noma sanaChukua kwa ajili ya tamthilia mkuu .
Tupe link tuchek gem mana npo kwenye WiFi kas ya ajub zaid ya 4GWATCH IT THROUGH SMARTPHONE
umetisha mkuuKing'amuzi chochote kikishirikiana na TBC kiogope kama ukoma .
Hii kampuni watu wanalalamika kuwa huduma zao ni tofauti kabisa na matangazo yao, mbona mamlaka husika iko kimya..!? Kwa huduma zao hewa.!?Unawaamini star times? Pole
TCRA nao ni jipu.!Hii kampuni watu wanalalamika kuwa huduma zao ni tofauti kabisa na matangazo yao, mbona mamlaka husika iko kimya..!? Kwa huduma zao hewa.!?
Mimi mwenyewe leo nimeishiwa kifurushi na wala sina mpango wa kulipa maana zipo channels nyingi za bure mf.BTV na hata hiyo Crtv ni bureWanaonyesha azam tv hata sasa game iko live ubc, Malawi tv, zbc 2 na crtv zote ziko azam tv
Hakifai kbs,bei kubwa hakuna mipiraStartimes king'amuzi fake kabisa
Huenda ikawa kweli....nna king'amuzi cha star times ni waongo na wahuni sana...King'amuzi chochote kikishirikiana na TBC kiogope kama ukoma .