Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wapuuzi sana, hata Ubora wao uko poor sana.Wapo too local
Wapo kama chid benz.Wapuuzi sana, hata Ubora wao uko poor sana
Wee angalia iyo Channel ya CAF imeangaliwa mpaka sasa karibia na watu 500K
Yenyewe yamekaa tu kishamba shamba
ZBC 2 = AzamKituo gan hiki, YouTube hamuonekani.
Marudio ya Mechi za Kimataifa hususani klabu bingwa Afrika kupitia Simba Mnyama hamuweki.
Toka jana nazungunguka YouTube kutafuta Marudio ya mpira, walau nisikie Sauti ya Baraka Mpenja akitangaza Goli la Messi wa Simba hamna.
Kama kazi hamuijui basi wapeni Azam haki ya kurusha marudio kupitia YouTube.
Huu ni Ujinga!
View attachment 1711975
Duuhh basi wanazenguaYouTube inakwenda kinyume na sheria ya dini yao ndiyo maana.
Hapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kujaZbc 2 inamilikiwa na kuendeshwa na Azam na ndio maana mpira wa simba alitangaza baraka mpenja
Azam ndiye ZBC2
Zbc 2 inamilikiwa na kuendeshwa na Azam na ndio maana mpira wa simba alitangaza baraka mpenja
Duuhh Nilijua ZBC2 ni kituo cha shirika la utangazaji Zanzibar yaan ni kama ilivyo TBC kwa upande wa Bara au Star TV isipokua zipo ndani ya King'amuzi cha kampuni ya Azam ambayo nayo ina vituo vyake kama Azam ,Azam sport 1,2 HD n.kZBC 2 = Azam
Azam anaitumia Zbc2 kimasilahi, inaonekana chenel ya taifa so yeye mambo yake Azam yanaenda.Hapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kuja
We unazungumzia theoretically,Duuhh Nilijua ZBC2 ni kituo cha shirika la utangazaji Zanzibar yaan ni kama ilivyo TBC kwa upande wa Bara au Star TV isipokua zipo ndani ya King'amuzi cha kampuni ya Azam ambayo nayo ina vituo vyake kama Azam ,Azam sport 1,2 HD n.k
Kwa hiyo unakuta, Wao kama wao ndio wenye ruhusa ya kuonyesha Mpira, na kwakua hawana king'amuzi, Kituo chao kkakubaliana na Kuwemo ndan ya Azam ,
Kwa maana ya kwamb ZBC2 wanaweza wakajiondoa kwenye king'amuzi cha Azam wakahamia kampun nyingine lkn bado wakaendelea kua na haki ya kuonyesha mpira kama kawaida.
ZBC ye anaishia hapo hapo kwenye ZBC. Azam (Bakhresa) Zanzibar hanyimwi kitu, so ZBC-2 ikaanzishwa ili ipate favors kama TV ya taifa lakini haina tofaut na Azam1, Azam2, Azam Sport, etcHapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kuja
hapana, zbc 2 pia inapatikana kwenye king'amuzi cha Zmux kinachotolewa na ZBC wenyeweAzam anaitumia Zbc2 kimasilahi, inaonekana chenel ya taifa so yeye mambo yake Azam yanaenda.
Ile ni mali ya Azam sema kuwa Zbc2 ni kurahisisha kupata haki za matangazo.
Ndo maana ipo kwenye kisimbusi cha Azam tu.
Na zile studio za matangazo na uchambuzi ni za Azam zilezile.
Na watangazaji baadhi ya mechi ni walewale.
We dada akili yako ina deteriorate kwa kasi sana siku ulikua among smartest women kwenye hii platform ila sijui umekumbwa na nini?YouTube inakwenda kinyume na sheria ya dini yao ndiyo maana.
Acha kupotosha watu zbc2, ni mali ya bakhresa,Hapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kuja