Ze comedi... Wanajenga, wanabomoa...?


Umeongea yote mkuu..Dogo kama anataka aende mbali inabidi aingie chimbo apige hiyo English course,otherwise aendelee na MAIGIZO yao yale ya KAOLE ya akina Mzee PEMBE,BAMBO,KIWEWE,KIPEMBA,MATUMAINI,KINGWENDU na swahiba wake RAY(eti naye anajiita The Greatist)
 
Waombe msamaha kwa kosa gani? Mi sioni kosa walilolifanya. Wamewaigiza watu mashuri kuliko huyo Kanumba hamjasema, kusemwa Kanumba imekuwa nongwa? Kanumba alifulia kama ze komedy wanavyoelekea kufulia, hilo halina ubishi.

(Mimi naona tunaongea mengi mno, tatizo la watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.Ze comedy wameigiza kanumba kuwa amechemka kwenye Kingereza ni ukweli kwani uongo?.Amechemka aende akasome sioni tatizo.Kitu kingine waponda kikao chao, ni kweli lazima wakiponde.Mara ngapi tumeona katuni za mawaziri wamechorwa kwenye magazeti, hata bush na clinton, sasa kuwaigiza wao kuwa wanachemka ndo wanaandamana kweli ni ujinga mtupu shule haimo kichwani.Basi kama ni kuandanamana mawaziri na wabunge wote wangekuwa wameandamana kwa katuni zinazochorwa kila siku.Nasema wasaniii wote wamechemka.Ze comedy hoyeeeee? ingwa nawaponda pia, nao waende shule.
 

Hawa vijana , they are no longer relevant,kinyaa, siku nyimgi nimeacha kuwatazama
 
Waombe msamaha kwa kosa gani? Mi sioni kosa walilolifanya. Wamewaigiza watu mashuri kuliko huyo Kanumba hamjasema, kusemwa Kanumba imekuwa nongwa? Kanumba alifulia kama ze komedy wanavyoelekea kufulia, hilo halina ubishi.
labda huwa hufatilii watu wamekuwa wakiwa lalamikia kwa muda mrefu sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…