Paparazi Muwazi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 310
- 80
si nilisikia wamekwenda mahakamani, sasa huyo waziri amepata wapi mamlaka ya kulizungumzia suala hilo nje ya mahakama?
The whole saga is comedy anyway!
Ile sintomfahamu kati ya Ze Comedy na EATV imetinga bungeni kupitia mbunge wa viti Maalum CHADEMA Mama Suzan Lyimo. Waziri amesema kuna mzozo kati ya hatimiliki na hatishiriki. Waziri amebakiza suala hilo kwa COSOTA kuamua
PM
its a polite way of telling them get out of here!Sasa amewaachiaje Cosota kuamua wakati walishaamua kwa upande wa mengi,watakuwa fair.Lililobaki hapo labda mahakama tu
Ile sintomfahamu kati ya Ze Comedy na EATV imetinga bungeni kupitia mbunge wa viti Maalum CHADEMA Mama Suzan Lyimo. Waziri amesema kuna mzozo kati ya hatimiliki na hatishiriki. Waziri amebakiza suala hilo kwa COSOTA kuamua
PM
Sasa amewaachiaje Cosota kuamua wakati walishaamua kwa upande wa mengi,watakuwa fair.Lililobaki hapo labda mahakama tu
From mahakamani to bungeni?kweli its a comedy.Yetu macho.
Kuna mtu ana contacts zao jamani... ? naweza kuwapa msaada.