1. Shooting ni poor (yaani kuna mwangwi kibao katika sauti na picha zinamovuzishwa haraka sana)
2. Pateni vifaa vinavyokaribia na ukweli mfano Vitabu darasani na sio madaftari (yaani haichekeshi chochote hapo)
3. Fanyeni matizi zaidi ili muda mwingi mtumie kuchekesha kweli! Tafuteni watu waandikie scripts au kuwaandalia vituko au vichekesho vya nguvu!