Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
wadau, hapa nani zaidi? kwa upande wangu nimekuwa nikiwatazama wote ila navutiwa na futuhi kwa mambo kadhaa. kwanza hawatumii lugha kali kama ze komedi, pili wanatumia wanawake katika nafasi za wanawake, tatu ni more creative, nne kuna rika tofauti, n.k. hayo ni yangu sijajua yako
Futuhi ndo kitu gani? Sijaelewa kitu hapa!
Nadhani unaweza kuelewa just kwa kuangalia thread iko titled namna gani, otherwise uwe pia huelewi Ze Komedi ni kitu gani.Re: Ze komedi v/s Futuhi
Nadhani unaweza kuelewa just kwa kuangalia thread iko titled namna gani, otherwise uwe pia huelewi Ze Komedi ni kitu gani.
Futuhi ndo kitu gani? Sijaelewa kitu hapa!
Ze comedy juu juu juuuu zaidi.
Komedi orijino wako juu zaidi. Ile ndo style yao!